kuacha
leave, abandon
kuambia
tell
kuamka
wake up
kuandika
write
kuangalia
observe
kuanguka
fall
kuarifu
inform (report)
kubaki
stay, remain
kubeba
carry
kubusiana
kiss each other
kubusu
kiss
kuchagua
choose
kuchana
comb
kuchapa
type
kucheka
laugh
kuchelewa
be late
kucheza
play
kucheza ngoma
dance
kuchoka
be tired
kudaka
catch
kudanganya
deceive
kuegesha
park
kuelewa
understand
kuendelea
continue